Search

114 results for Mohammed Kuyunga :

  1. Abbas Magongo mwisho wa enzi

    , Julai 4, 2002 na kupumzishwa katika makuburi ya Kiislamu ya Kariokor. Mbali na kufanikiwa kupata watoto wawili na Amina, Magongo aliasili watoto wengine aliokuwa akiishi nao na kuwahudumia kama...

  2. Abbas Magongo Zidane wa Tanzania aliyegeuka mali ya Kenya

    Harambee Stars kati ya miaka ya 1986 hadi 1991 chini ya Kocha Mohammed Kheri ambaye alimwona  Magongo kama mchezaji wake wa thamani zaidi mwaka 1987,  Magongo  alikuwa tegemeo la ushindi...

  3. MJUAJI: Unaikumbuka Kakakuona?

    lilipachikwa wavuni na Issa Seketawa dakika ya 77. Uganda ikanyakua ubingwa. WALIOUNDA KAKAKUONA  Joseph Katuba, Sahau Said Kambi na Bure Mtwagwa. Wengine ni Kaunda Mwakitope, Mohammed...

  4. PRIME JIWE LA SIKU: Mchongo wa Chama, Phiri, Moloko, Skudu kupisha wapya Simba, Yanga

    JUZI kati hapa, Simba ilimshusha Mzimbabwe Michael Charamba aliyetarajiwa kuchukua mikoba ya Clatous Chota Chama ndani ya kikosi cha timu hiyo, lakini hajaonekana kumudu kuvaa viatu vya Mzambia...

  5. JIWE LA SIKU: Zamu ya Chama kwenda Yanga

    JULAI 2022 winga machachari, Mghana Bernard Morrison alirudi Yanga baada ya kuachwa na klabu ya Simba. Miaka miwili nyuma winga huyo machachari aliikacha Yanga na kujiunga na Simba. Baada ya...

  6. MJUAJI: Tanzania ilifuzu Afcon ya nchi nane 1980

    Uwanja wa Taifa na timu hiyo kuondoka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 lilifungwa na Mohammed Rishard ‘Adolf’. Mchezo wa marudiano ulipigwa Zambia Agosti 27 katika mji wa Ndola na kuisha kwa...

  7. MJUAJI: Omar Hussein alizitikisa Yanga, Pan

    HIKI ni kipindi cha usajili wa dirisha dogo. Timu zinatumia dirisha hili kufanya marekebisho ya usaji zilizoufanya wakati wa dirisha kubwa. Katika usajili kuna mambo mengi sana ya nyuma ya...

  8. MJUAJI: Ushakisikia kisa cha Abdallah Luo?

    HEBU tuanze hapa. Umeshawahi kuona filamu ya Escape to Victory? Ni filamu moja iliyoigizwa na mastaa wakubwa na kupata umaarufu mkubwa katika miaka ya 80’. Kinachofanya niikumbuke filamu hiyo ni...

  9. MJUAJI: Tanga Derby mpira ulipasuka Mkwakwani

    KUNA historia zimetokea Tanzania lakini kwa bahati mbaya wengi hawazikumbuki. Lipo tukio hili lililotokea Julai 23, 1988 katika Uwanja wa CCM Mkwakwani, Tanga katika mchezo wa Tanga Derby...

  10. MJUAJI: Ni miaka 30 ya fainali ya simanzi kwa Simba SC

    lililokuwa la pili Waangola wakijifunga, huku bao lao la kufutia machozi likifungwa na Nello. Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyoleta utata ni kwamba Simba ilipoenda Angola baada ya miaka...

Page 1 of 12

Next